Home video VIDEO: BASHUNGWA AKABIDHIWA KOMBE LA CECAFA LEO

VIDEO: BASHUNGWA AKABIDHIWA KOMBE LA CECAFA LEO

TIMU ya taifa ya Tanzania chini ya miaka 23 leo imerejea na imeweza kupokelewa na mashabiki ikiwa na Kombe la Cecafa pia timu hiyo ilikutana na Waziri wa Michezo, Bashungwa alikabidhiwa kombe na alipata muda wa kuongea na vijana hao

 

SOMA NA HII  TAZAMA NAMNA KIPA WA BIASHARA UNITED ALIVYOPEWA MKWANJA