Home video VIDEO: MANENO YA MWALIMU KASHASHA ENZI ZA UHAI WAKE, PUMZIKA KWA AMANI

VIDEO: MANENO YA MWALIMU KASHASHA ENZI ZA UHAI WAKE, PUMZIKA KWA AMANI

KABLA ya kupatwa na umauti, mchambuzi maarufu Tanzania, Mwalimu Kashasha aliwahi kuzungumza ambapo alibainisha yale anayoyapenda na kuyachukia pia. Jana Agosti 19 taarifa ya kutangulia mbele za haki kwa Kashasha ziliweza kuacha simanzi ya wengi. Pumzika kwa amani. 

 

SOMA NA HII  VIDEO:FEISAL ATAJA WALICHOAMBIWA NA MWALIMU, ATOA SHUKRANI