Home video VIDEO: SIMBA WAICHANGIA YANGA KUELEKEA WIKI YA MWANANCHI

VIDEO: SIMBA WAICHANGIA YANGA KUELEKEA WIKI YA MWANANCHI

TAWI la Yanga kutoka Mbezi linaloitwa Pamoja limeweza kutoa msaada katika shule ya Sekondari ikiwa ni kwa ajili ya kuelekea kwenye kilele cha Wiki ya Mwananchi na wamebainisha kwamba wamepewa mchango pia kutoka kwa mashabiki wa Simba.


 Aidha wameongeza kuwa nje ya uwanja wao na Simba ni marafiki na ugomvi wao ni ndani ya uwanja.

 

SOMA NA HII  CHEKI NAMNA WACHEZAJI WA SIMBA WALIVYOKUWA WAKIKIMBIZANA