video

SIMBA: BEKI MPYA WA SIMBA HATARI, ANATUMIA MIGUU YOTE

admin September 1, 2021 4:44 am


UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa usajili ambao wamefanya ni mzuri kwa kuzingatia umri pamoja na uwezo wa wachezaji huku ukibainisha kuwa ujio wa beki Henock Inonga kutoka Congo ni moja ya sajili bora kwao.


Pia ana uwezo wa kutumia miguu yote miwili na beki wa kiwango cha juu, hakuna mfano wake ni kwa mujibu wa Crestius Magori aliyekuwa CEO wa timu hiyo ila kwa sasa CEO ni Madam Barbara Gonzalez.

 

MICHAEL SARPONG KULIPWA MKWANJA MREFU KWA MWEZI AZAM FC WAMPA DILI LA MWAKA MMOJA BEKI MCAMEROON

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply