Burudani

EXCLUSIVE:TWAHA KIDUKU AMJIBU MWAKINYO,KUMBE HAKUJUA KAMA ALIPIGWA NGUMI NA MBABE

admin September 2, 2021 3:45 pm


TWAHA Kiduku bondia wa ngumi ambaye alishinda pambano lake la hivi karibuni dhidi ya Dulla Mbabe na kusepa na gari mazima amesema kuwa furaha yake ni ushindi huku shukrani akirudisha kwa Mungu. 


Pia ameweka wazi kwamba alikuwa hawazi gari kwa kuwa analo hivyo alikuwa anahitaji kupata ushindi. Kwa pigo alilopigwa mwanzo ilikuwa ni sehemu ya mchezo na aliponyayuka aliweza kuendelea raundi ya pili na kusimama upya.Kumbe ile ngumi aliyopigwa alikuwa hajui kama yupo kwenye pambano.

 

TANZANIA YATOSHANA NGUVU NA DR CONGO….MZAMIRU, FEI TOTO WAANDIKA REKODI EDO KUMWEMBE ATUPA DONGO YANGA…AWATAJA MAKAMBO NA DJUMA SHABANI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply