News

HUU HAPA MUONEKANO WA UZI MPYA WA SIMBA, SABABU YA KUWA DUKANI MAPEMA KABLA YA UZINDUZI

admin September 4, 2021 1:43 am

 “TULIHEMEWA na maombi ya mashabiki ambao walikuwa wanataka jezi mpya,” Ezekiel Kamwaga,  Ofisa Habari wa Simba amesema kuwa ni sababu ya wao kuiruhusu jezi hiyo kuwa dukani mapema tangu jana Septemba 3 kabla ya uzinduzi wa jezi hiyo unaotarajiwa kufanyika leo Septemba 4.

Huu hapa ni muonekano wa jezi hiyo pia wamezindua na jezi ya akina dada.




MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI MWAKINYO ATETEA UBINGWA WAKE, MNAMIBIA HAELEWI AMEPIGWAJE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply