Burudani

MWAKINYO ATETEA UBINGWA WAKE, MNAMIBIA HAELEWI AMEPIGWAJE

admin September 4, 2021 2:43 am

 HASSAN Mwakinyo, bondia Mtanzania amefanikiwa kutetea ubingwa wake wa Afrika, ABU katika pambano la uzito wa Super welterweight baada ya ushindi kwa TKO katika raundi ya nne.

Ilikuwa ni dhidi ya bondia Julius Idongo kutoka Namiba kwenye mchezo wa Mabingwa wa Ulingo uliochezwa usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Ubungo Plaza.

Ilikuwa ni katika pambano la raundi 12, Mwakinyo alishinda katika raundi ya nne na kumfanya aweze kutetea taji lake.

Baada  ya ushindi huo Mwakinyo amesema kuwa ushindi huo ni kudra za Mungu na anashukuru kwa kushinda.

Kwa upande wa Mnamibia amesema kuwa haelewi imekuajekuaje akashindwa katika pambano hilo kwa kuwa anaamini katika uwezo wake.

HUU HAPA MUONEKANO WA UZI MPYA WA SIMBA, SABABU YA KUWA DUKANI MAPEMA KABLA YA UZINDUZI LITOMBO ABADILISHIWA MAJUKUMU YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply