news

KIUNGO SIMBA AIBUKIA MTIBWA SUGAR

admin September 4, 2021 12:43 pm


 UONGOZI wa Mtibwa Sugar umemtambulisha rasmi nyota Said Ndemla kuwa mali yao kwa msimu mmoja.

Ni usajili wa mkopo kwa mzawa huyo ambaye alikuwa anakipiga ndani ya kikosi cha Simba.

Taarifa rasmi kutoka Mtibwa Sugar imeeleza kuwa nyota huyo ana hadhi ya juu kabisa na atakuwa hapo kwa muda wa mwaka mmoja.

Mtibwa Sugar ambayo inatarajiwa kuwa chini ya Kocha Mkuu, Hitimana Thiery huu unakuwa ni usajili wake wa kwanza kuutambulisha kwa mashabiki wake baada ya dirisha kufungwa Agosti 31.

MRITHI WA ANTONIO NUGAZ KUTANGAZWA YANGA UZINDUZI WA JEZI ZA SIMBA WAYEYUKA MAZIMA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply