Home video HALI ILIVYO KWA SASA UWANJA WA KAUNDA WA YANGA

HALI ILIVYO KWA SASA UWANJA WA KAUNDA WA YANGA


MABORESHO ya Uwanja wa Kaunda unaendelea ambapo kwa sasa wameweka vifusi kwa ajili ya kuweza kukamilisha zoezi la matengenezo. Uwanja huo upo makao makuu ya Yanga.

 

SOMA NA HII  SIMBA:TUTACHUKUA TAJI MARA 10 MFULULIZO,KUFUNGWA MBELE YA YANGA YAMETA

1 COMMENT