Home video HALI ILIVYO KWA SASA UWANJA WA KAUNDA WA YANGA video HALI ILIVYO KWA SASA UWANJA WA KAUNDA WA YANGA By admin - September 14, 2021 1 MABORESHO ya Uwanja wa Kaunda unaendelea ambapo kwa sasa wameweka vifusi kwa ajili ya kuweza kukamilisha zoezi la matengenezo. Uwanja huo upo makao makuu ya Yanga.
NAWAPONGEZA SANA TFF KWA MALEGEBESHO MAZULI MUNGU AWABALI SANA