Burudani

JUMA IDD MOLLEL ASHINDA JACKPOT BONUS YA SPORTPESA

admin September 15, 2021 3:43 pm




 MKWANJA umezidi kutolewa kwa wale ambao wanabashiri vizuri Jacpot kutoka kampuni ya kubashiri SportPesa.

Mshindi wa bonasi ya Jackpot Juma Idd Mollel kutoka Arusha ameshinda na kukabidhiwa mfano wa hundi ya mkwanja mrefu.

Pichani ni Juma Mollel akishikilia mfano wa hundi ya TZS. 32,287,745 baada ya kuibuka mshindi wa bonasi ya Jackpot kutoka SportPesa. 

Juma alibashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13 za Jackpot kwa kuweka kombinesheni za mechi 5 kwa mkeka 1.

 Wiki hii Jackpot ya SportPesa ni TZS 499,059,740.

ARTETA KUMPA MAJUKUMU AARON TAZAMA NAMNA UONGOZI WA SIMBA ULIVYOKUWA HOSPITALI YA MWANANYAMALA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply