Azam FC

AZAM FC KAMILI GADO KUWAVAA WASOMALI

admin September 17, 2021 1:43 pm


 UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Horseed FC ya Somalia.

Mchezo huo ni wa marudio baada ya ule wa awali uliochezwa Uwanja wa Azam Complex kukamilika kwa ubao kusoma Azam FC 3-1 Horseed FC.

Taarifa iliyotolewa na Azam FC kupitia kwa Ofisa Habari Zakaria Thabit imeeleza kuwa:”Vijana wamemaliza salama mazoezi ya mwisho leo asubuhi kabla ya kesho Jumamosi kuivaa Horseed ya Somalia kwenye mchezo wa marudiano wa raundi ya awali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC).

“Mchezo huo utafanyika Uwanja wa Azam Complex saa 10.00 jioni,”.

YANGA YAKIRI KUWA MCHEZO WA RIVERS UNITED HAUTAKUWA MWEPESI BAADA YA KUIONA YANGA IKICHEZA JUZI..ZAHERA AGUNA KISHA AFUNGUKA HAYA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply