video

NAHODHA SURE BOY AWEKA WAZI HESABU ZAO MBELE YA WASOMALI

admin September 17, 2021 9:43 pm

NAHODHA wa Azam FC, Salum Abubakar, ‘Sure Boy’ ameweka wazi kuwa kuelekea mchezo wao wa kesho wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Horseed FC ya Somalia wachezaji wamejipanga kupata ushindi ili kusonga hatua ya mbele katika mashindano hayo ya kimataifa.


Azam FC itakuwa mgeni wa Horseed FC ya Somalia kwenye mchezo wa kesho Septemba 18 utakaochezwa Uwanja wa Azam Complex saa 10:00 jioni.

 Katika mchezo wa awali Azam FC walipokuwa wenyeji walishinda kwa mabao 3-1 hivyo kesho wana kazi ya kulinda ushindi wao. 

 

KOCHA AZAM AFUNGUKA MCHEZO WA KESHO SIMBA WAREJEA DAR USIKU WAKITOKEA ARUSHA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply