video

HAJI MANARA ABAINISHA MIPANGO,IMANI YAO IPO KWENYE KUPINDUA MEZA

admin September 18, 2021 7:43 am

OFISA Habari wa Yanga, Haji Manara amesema kuwa wanakwenda kwenye mchezo mgumu dhidi ya Rivers United ambao unatarajiwa kuchezwa Septemba 19 nchini Nigeria.


 Manara amesema kuwa wamejipanga kupata matokeo na wanaamini kwamba watafanikiwa. Mchezo huo ni wa marudio kwa kuwa ule wa awali uliochezwa Uwanja wa Mkapa ubao ulisoma Yanga 0-1 Rivers United hivyo kazi kubwa kwa Yanga ni kwenda kupindua meza kibabe.

 Tayari kikosi cha Yanga kimeshawasili nchini Nigeria kwa ndege binafsi ikiwa ni kwa ajili ya maandalizi ya mchezo huo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.

 

NGURUMO ZA SIMBA WAFANYA TUKIO KUBWA KUELEKEA SIMBA DAY TP MAZEMBE KUTUA NCHINI LEO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply