video
SAUTI:ISHU YA KAZE KURUDI YANGA IPO HIVI, UONGOZI WAWEKA WAZI
IMEELEZWA kuwa Cedric Kaze aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga kabla ya kuchimbishwa yupo kwenye hatua za mwisho kurudi ndani ya timu hiyo ambapo atarejea akiwa ni kocha msaidizi akishirikiana na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.