video
TAZAMA NYOMI UWANJA WA MKAPA NAMNA ILIVYOKUWA
SEPTEMBA 19 bado Wanasimba wanakumbuka namna utambulisho wao wa wachezaji wa kikosi cha msimu wa 2021/22 ulivyofana katika tamasha la Simba Day.
Licha ya kupoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya TP Mazembe ila Uwanja wa Mkapa nyomi ilikuwa kama yote.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.