video
MAYELE ALIYEMTUNGUA MANULA, ANAHITAJI TUZO BONGO
FISTON Mayele, mshambuliaji wa Yanga ambaye alifunga bao pekee la ushindi mbele ya Simba katika mchezo wa Ngao ya Jamii, Uwanja wa Mkapa amesema kuwa anahitaji tuzo ya ufungaji bora kwa msimu wa 2021/22.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.