video

SIMBA:MUGALU ALISHINDWA KUFUNGA MABAO,PENGO LA CHAMA NA LUIS

admin September 26, 2021 4:43 am

BAADA ya kupoteza kwa kufungwa bao 1-0 mbele ya Yanga kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii, shabiki wa Simba ameweka wazi kuwa kuna shida kidogo kwenye eneo la ushambuliaji huku akimtaja Mugalu, (Chris) kuwa alishindwa kufunga mabao jambo ambalo linawaumiza. 


Kuhusu kiwango cha wachezaji wapya ameridhika.Kuhusu pengo la Luis Miquissone na Chama Clatous ambao wamesepa amesema kuwa kwa sasa watasema hasa kwa kuwa wametoka kupoteza.

 

MAKAMBO:SIMBA NI TIMU KUBWA, HAYA NI MATOKEO AUCHO:NIMEKUJA YANGA KWA AJILI YA USHINDANI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply