video

MANARA:USISEME YANGA NI DHAIFU,AWACHAMBUA WACHEZAJI

admin September 27, 2021 9:43 pm

HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kuwa kutokana na aina ya ubora wa wachezaji walionao ikiwa ni pamoja na Feisal Salum, Djuma Shaban wana imani kubwa ya kuweza kutwaa mataji ndani ya Tanzania. 


 Manara amesema kuwa watu wasiseme kuwa kikosi ni dhaifu kwa kuwa wameonyesha uwezo wao uwanjani.

Kuhusu malengo ameweka wazi kuwa ni kutwaa mataji yote yaliyobaki baada ya kutolewa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika na Rivers United.

 

MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE TAZAMA MAZOEZI YA MWISHO YA SIMBA MUSOMA, NYOMI LAKUTOSHA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply