video

SHABIKI WA YANGA ANAAMINI KWAMBA SIMBA INAFUNGWA NA BIASHARA UNITED LEO

admin September 28, 2021 1:43 pm

MASHABIKI wa mpira kutoka Mara nao wanaifuatilia kwa ukaribu mechi ya leo Septemba 28 kati ya Biashara United v Simba ambapo shabiki mmoja wa Yanga ameweka wazi kwamba Simba inapoteza kwa kufungwa leo Uwanja wa Karume.

 

FT :LIGI KUU BARA-BIASHARA UNITED 0-0 SIMBA MASHABIKI YANGA V SIMBA KATIKA UBISHI WAO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply