Home news ZAHERA AFICHUA SIRI YA KURUDI KWAKE YANGA…AIBUA KAULI MBIU YAKE YA ‘ZAHERA...

ZAHERA AFICHUA SIRI YA KURUDI KWAKE YANGA…AIBUA KAULI MBIU YAKE YA ‘ZAHERA MPYA’


MKURUGENZI wa ufundi Yanga, Mwinyi Zahera amesema siri ya ushindi katika kikosi hicho ni morali ya kutosha kwa wachezaji.

Zahera ambaye alikuwa kocha mkuu katika kikosi hicho amerejea tena hivi karibuni na kupewa cheo Cha ukurugenzi wa ufundi.

Akizungumza  baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Simba, Zahera amesema;”Umoja wa viongozi na morali kwa wachezaji ndio Siri ya ushindi.”

Zahera amesema wachezaji ndio wanastahili pongezi baada ya kufanya vizuri.

Akizungumzia urejeo wake amesema;”Wananchi wajue mimi ni Zahera mpya.”

SOMA NA HII  KAZE AKIRI PRESHA ILIKUWA KUBWA KWAKE