news

ZAHERA AFICHUA SIRI YA KURUDI KWAKE YANGA…AIBUA KAULI MBIU YAKE YA ‘ZAHERA MPYA’

admin September 28, 2021 11:00 am


MKURUGENZI wa ufundi Yanga, Mwinyi Zahera amesema siri ya ushindi katika kikosi hicho ni morali ya kutosha kwa wachezaji.

Zahera ambaye alikuwa kocha mkuu katika kikosi hicho amerejea tena hivi karibuni na kupewa cheo Cha ukurugenzi wa ufundi.

Akizungumza  baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Simba, Zahera amesema;”Umoja wa viongozi na morali kwa wachezaji ndio Siri ya ushindi.”

Zahera amesema wachezaji ndio wanastahili pongezi baada ya kufanya vizuri.

Akizungumzia urejeo wake amesema;”Wananchi wajue mimi ni Zahera mpya.”

WAKATI YEYE AKIITAKA LIVERPOOL…BARCELONA WAMKOMOA COUTINHO KWA KUMUUZA ARSENAL.. KASINO YA MTANDAONI, IMEBADILISHA MAISHA YA MTEJA WETU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply