Home video SHABIKI SIMBA ATAMBA KUHUSU KUJAZA UWANJA,AMTAJA MANARA

SHABIKI SIMBA ATAMBA KUHUSU KUJAZA UWANJA,AMTAJA MANARA


SHABIKI wa Simba ameweka wazi kuwa timu hiyo haijaanza kujaza uwanja miaka ya hivi karibuni bali ilikuwa ikifanya hivyo kwa muda mrefu hata kabla ya aliyekuwa Ofisa Habari wa timu hiyo Haji Manara kuwa ndani ya kikosi hicho katika kitengo cha kuzungumza na kwa sasa yupo ndani ya Yanga ambayo leo ipo nchini Nigeria ikiwa na kazi ya kuipeperusha bendera ya Tanzania kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Rivers United.

 

SOMA NA HII  OSCAR: TFF WANAJUA KILA KITU KUHUSU MORRISON,YANGA KUGOMEA MECHI NI SUALA LA HOVYO