Home video SIMBA:MUGALU ALISHINDWA KUFUNGA MABAO,PENGO LA CHAMA NA LUIS

SIMBA:MUGALU ALISHINDWA KUFUNGA MABAO,PENGO LA CHAMA NA LUIS

BAADA ya kupoteza kwa kufungwa bao 1-0 mbele ya Yanga kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii, shabiki wa Simba ameweka wazi kuwa kuna shida kidogo kwenye eneo la ushambuliaji huku akimtaja Mugalu, (Chris) kuwa alishindwa kufunga mabao jambo ambalo linawaumiza. 


Kuhusu kiwango cha wachezaji wapya ameridhika.Kuhusu pengo la Luis Miquissone na Chama Clatous ambao wamesepa amesema kuwa kwa sasa watasema hasa kwa kuwa wametoka kupoteza.

 

SOMA NA HII  VIDEO:KISA MO, CHAMA KUONDOKA SIMBA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here