Home video YANGA WAMESEPA KWA KUJIAMINI KUELEKEA NIGERIA, TAZAMA ILIVYOKUWA

YANGA WAMESEPA KWA KUJIAMINI KUELEKEA NIGERIA, TAZAMA ILIVYOKUWA

YANGA leo Septemba 17 wamekwea pipa kueleka Nigeria kwa ajili ya mchezo wa marudio dhidi ya Rivers United ambao ni wa Ligi ya Mabingwa.


 Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Septemba 19, Jumapili wamesepa na Shirika la ndege la Tanzania ni ndege ya kukodi wakimaliza mchezo huu wakiwa na kumbukumbu ya kupoteza mchezo wa kwanza kwa kufungwa bao 1-0 wanarudi Bongo.

 

SOMA NA HII  MGUNDA: SIKUWAFUNDISHA MBINU ZA KUOTEA WACHEZAJI WANGU