video
SHABIKI ABAINISHA KUWA WACHEZAJI WA SIMBA MIILI HAIJAFUNGUKA
MASHABIKI wa Simba wanaamini kuwa timu yao itafanya vizuri ila kwa sasa inakwama kupata matokeo kwa kuwa miili ya wachezaji bado haijafunguka pia wametamba kutokana na usajili ambao wameufanya.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.