video

MAVUNDE:KADI NYEKUNDU YAWAATHIRI DODOMA JIJI,SIMBA SIO TIMU YA KUTISHA

admin October 2, 2021 3:43 am

KIONGOZI Anthony Mavunde amebainisha kuwa Red Card, (kadi nyekundu) ambayo ilitolewa kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Dodoma Jiji dhidi ya Simba ambayo alionyeshwa Anuary Jabir iliweza kuwaathiri kwa kuwa Dodoma Jiji walikuwa wanacheza pungufu.


Kwenye Mchezo huo wa ligi Simba iliweza kushinda bao 1-0 lilifungwa na Meddie Kagere huku Mavunde akibainisha kuwa Simba sio timu ya kutisha sana.

 

UWANJA WA YANGA KILE KIFUSI CHASAMBARATISHWA, HALI IPO HIVI KWA SASA NAWAKUMBUSHA WACHEZAJI WAZALENDO, WAKATI UMEWADIA SIO MWISHONI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply