Home video MBOTTO,TUNAWAOMBEA SIMBA NA WAO WATUOMBEE

MBOTTO,TUNAWAOMBEA SIMBA NA WAO WATUOMBEE

SHABIKI wa Yanga Mbotto amesema kuwa wanawaombea watani zao wajadi Simba washinde mechi zao na wao wanaomba Simba wawaombee pia washinde mechi zao.

 

SOMA NA HII  VIDEO: WAZIR JUNIOR ANAAMINI KWAMBA MSIMU UJAO WATAFANYA VIZURI