video

MUONEKANO WA UWANJA WA UHURU,DAR

admin October 3, 2021 6:43 am

UWANJA wa Uhuru ni moja ya vile vyenye nyasi bandia kwa Tanzania ambapo ukarabati wake ulifanywa hivi karibuni ambapo ni timu nyingi zimekuwa zikipenda kuutumia ikiwa ni pamoja na KMC, DTB, African Lyon, Simba na Yanga pia kwa ajili ya mechi zao ama wakati mwingine huwa ni kwa ajili ya mazoezi na unahistoria kubwa Tanzania hapa ni muonekano wake ambapo upo karibu pia na ule Uwanja wa Mkapa.

 

HII HAPA RATIBA YA LIGI KUU BARA BONGO LEO JUMAPILI NABI AWAPONGEZA WACHEZAJI WAKE KWA USHINDI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply