video
TAZAMA MASTAA WA STARS FEISAL,MZAMIRU WALIVYOINGIA UWANJA WA MKAPA
TIMU ya Taifa ya Tanzania,’Taifa Stars’ inayonolewa na Kocha Mkuu, Kim Poulsen, jana Oktoba 4 ilianza rasmi mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia itakuwa ni dhidi ya Benin unaotarajiwa kuchezwa Oktoba 7, Uwanja wa Mkapa.
Mastaa walioitwa tayari wameripoti mazoezini na hapa ilikuwa namna walivyowasili Uwanja wa Mkapa ikiwa ni pamoja na Feisal Salum, Mzamiru Yassin, Aishi Manula, Idd Seleman,”Nado” ilikuwa ni Oktoba 4.

Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.