video

TAZAMA NAMNA JONAS MKUDE,MORRISON,INONGA WALIVYOWAPA TABU MAKIPA

admin October 8, 2021 7:43 am




MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba wameendelea na mazoezi kwa ajili ya mchezo wao ujao wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Jwaneng Galaxy ya Botswana ambapo kwa sasa zimesalia siku tisa kabla ya mchezo huo kuchezwa na Simba itaanzia ugenini Oktoba 17.


 Nyota wa Simba ikiwa ni pamoja na Jonas Mkude, Bernard Morrison, Henock Inonga, Ibrahim Ajibu katika mazoezi yaliyofanyika Uwanja wa Boko walikuwa na kazi ya kuwatesa makipa Beno Kakolanya, Ally Salim ambao walikuwa kwenye lango kwa kutunguliwa mabao. 

 Mbabe wao alikuwa ni Mkude ambaye mashuti yake makali yalikuwa yakiwapoteza makipa hao wa Simba.

 

WATANZANIA WASHAURIWA KUWEKA KANDO ISHU ZA SIMBA NA YANGA NYOTA FEISAL ATAJWA KUWA HATARI KWA SASA NDANI YA YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply