Home video MASTAA WA YANGA WANAKUNJA MSHAHARA MREFU KINOMA,SIMBA PIA WAPO

MASTAA WA YANGA WANAKUNJA MSHAHARA MREFU KINOMA,SIMBA PIA WAPO

NYOTA wa Yanga, Heritier Makambo anatajwa kuwa mchezaji ambaye anakunja mshahara mrefu kwa mwezi kwa wachezaji wote ndani ya Yanga huku kwa upande wa Simba ni Meddie Kagere ambaye ni mshambuliaji pamoja Bernard Morrison ambaye ni kiungo wanatajwa kuvuta mkwanja mrefu. 

 

SOMA NA HII  VIDEO: SIMBA KUMSAJILI MSHAMBULIAJI KUTOKA TUNISIA KWA BILIONI