Home video STARS KESHO KUWAVAA WABENIN, HALI IPO HIVI

STARS KESHO KUWAVAA WABENIN, HALI IPO HIVI

KESHO Oktoba 10 timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itakuwa na kazi ya kusaka ushindi mbele ya Benin baada ya mchezo wa kwanza kupoteza kwa kufungwa bao 1-0 kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa.


 Tayari kikosi cha Stars kinachonolewa na Kocha Mkuu, Kim Poulsen kipo nchini Benin na hali huko kwa sasa ipo namna hii. 

 

SOMA NA HII  VIDEO: WAWA, CHIKWENDE HATMA YAO MIKONONI MWA GOMES, OLOMIDE KUTUMBUIZA WIKI YA MWANANCHI