news

KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA BENIN

admin October 10, 2021 1:43 pm



KIKOSI cha timu ya taifa ya Tanzania,  Taifa Stars ambacho kitaanza leo katika mchezo wa kuwania tiketi ya kufuzu Kombe la Dunia, Qatar 2022.

Huu ni mchezo wa pili dhidi ya Benin baada ya ule wa awali uliochezwa Uwanja wa Mkapa, ubao kusoma Tanzania 0-1 Benin hivyo leo kuna kazi ya kupindua meza kibabe.

STARS KAZINI LEO,MCHEZO KUCHEZWA KWENYE JUA KALI SABABU YA KAMBI YA YANGA ARUSHA KUFUTWA IPO HIVI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply