video

NAHODHA WA U 20 ABAINISHA KUWA MALENGO YAO NI KUCHEZA KOMBE LA DUNIA

admin October 12, 2021 3:43 am

NAHODHA wa timu ya U 20 ameweka wazi kuwa kikubwa ambacho kimewasaidia kuweza kufanya vizuri ni kutokana na kukaa kambini kwa muda mrefu na kufanya maandalizi kwa muda mrefu na malengo makubwa ni kuweza kufika Kombe la Dunia na ndoto zake ni kucheza nje ya Tanzania. 

 

HIKI HAPA KIKOSI CHA KWANZA YANGA NA DAKIKA ZA MASTAA WACHEZAJI TWIGA STARS WAWEKA WAZI KUWA HAIKUWA RAHISI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply