video

NYOTA TWIGA STARS AKIRI KUWA MASHINDANO YALIKUWA MAGUMU

admin October 12, 2021 4:43 am

NYOTA wa timu ya Twiga Stars, Fetty Desa ameweka wazi kuwa mashindano ya COSAFA yalikuwa magumu lakini wanamshuku Mungu kwa kuweza kuwa nao mpaka mwisho wa siku wakafanikiwa kutwaa taji hilo. Oktoba 11 timu ya Twiga Stars inayonolewa na Kocha Mkuu, Bakari Shime iliweza kurejea Tanzania na kupokewa na mashabiki pamoja na viongozi wa Serikali bada ya kurudi na taji la COSAFA ambalo walilitwaa nchini Afrika Kusini.

 

NEYMAR JR AFIKIRIA KUSTAAFU HIYO VITA YA NAMBA YANGA ACHA KABISA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply