Home video YANGA YAPIGWA RUNGU CAF, SIMBA YASAFIRISHA MPISHI BOTSWANA

YANGA YAPIGWA RUNGU CAF, SIMBA YASAFIRISHA MPISHI BOTSWANA

SHIRIKISHO la Soka Afrika, (CAF) limeipiga rungu Yanga kutokana na kukiuka taratibu kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Rivers United, Simba wasafirisha mpishi Botswana. 

 

SOMA NA HII  VIDEO: RAIS AAGIZA WASANII KUANZA KULIPWA, VAT YA NYASI BANDIA YAONDOLEWA