Azam FC

AZAM FC WAIANDALIA DOZI NENE PYRAMIDS…LEO HAPONI MTU

admin October 16, 2021 11:00 am


KOCHA Msaidizi wa Azam FC, Vivier Bahati, ameelezea mipango yao ya kuwamaliza Pyramids ya nchini Misri.

Azam itacheza mchezo huo wa raundi ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika wakiwa nyumbani katika viwanja vya Azam Complex Chamanzi nje kidogo ya Jiji la Dar, leo Jumamosi.

Kuelekea mchezo huo wa raundi ya kwanza Azam imeanza kutesti mitambo kwa kucheza mchezo wa kirafiki na KMC na kuwafunga 3-2 wikiendi iliyopita.

Mabao yote matatu ya Azam yalisababishwa na mshambuliaji wao Ayoub Lyanga huku akitoa asisti kwa Idris Mbombo na Daniel Amoah, na kona ambayo KMC walijifunga.

Akizungumza na Championi Ijumaa, Bahati amesema kuwa: “Mchezo wetu na KMC ilikuwa kutizama maandalizi tuliyoyafanya kuelekea mchezo wetu na Pyramids na tunaona vijana wamekaa

YANGA WAIBUKA NA MKAKATI MPYA WA KUIVUA UBINGWA SIMBA..MECHI ZA UGENINI ZATAJWA BAADA YA KUIJUA YANGA NNJE NDANI…MOLOKO AIBUKA NA HILI…AITAJA AS VITA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply