News

BOCCO KUONGOZA MASHAMBULIZI DHIDI YA WABOTSWANA LEO..KIKOSI KAMILI HIKI HAPA

admin October 17, 2021 12:48 pm


Nahodha John Bocco ataongoza mashambulizi dhidi ya Jwaneng Galaxy katika mchezo wa hatua ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika utakaopigwa Uwanja wa Taifa wa Botswana saa 10 jioni.

Bocco atapata msaada wa karibu kutoka kwa viungo washambuliaji Bernard Morrison, Hassan Dilunga na Rally Bwalya.

Mlinzi wa kati Henock Inonga amepangwa kusimama na Pascal Wawa huku kiungo Sadio Kanoute aliyekuwa majeruhi akirejea moja kwa moja kikosini.

Kikosi Kamili kilivyopangwa.

Aishi Manula (28), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Pascal Wawa (6), Henock Inonga (29), Taddeo Lwanga (4) Bernard Morrison (8) Sadio Kanoute (13), John Bocco (22), Rally Bwalya (8), Hassan Dilunga (24).

Wachezaji wa Akiba

Beno Kakolanya (30), Peter Banda (11), Erasto Nyoni (18), Duncan Nyoni (23), Mzamiru Yasin (19),

Israel Patrick (5), Joash Onyango (16), Medie Kagere (14), Kennedy Juma (26).

BAADA YA SIMBA KUPIGA TIZI LA KWANZA BOTSWANA..GOMES AFUNGUKA HAYA..ATAJA IMANI KISA MECHI NA AZAM…UONGOZI YANGA WAACHUKUA MAAMUZI MAGUMU…WACHEZAJI WATAJWA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply