News

VIGOGO SIMBA NA YANGA WAJITOSA KUWANIA UBOSI WA BODI YA LIGI…

admin October 19, 2021 9:00 am


Mwenyekiti wa Yanga Dkt. Mshindo Msolla na Mwenyekiti wa Simba Murtaza Mangungu ni miongoni mwa majina yaliyopita katika mchujo wa awali kuwania nafasi ya Uenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu.

Jina lingine lililopenya katika mchujo huo ni Steven Mnguto ambaye anatetea nafasi hiyo kutoka Coastal Union ya Tanga.


IMEFICHUKA….KUMBE BANDA NA NYONI WALIYAKOROGA MSIMBAZI…GOMES AANIKA A-Z ILIVYOKUWA KISA MECHI DHIDI YA AZAM…NABI APINGA MAAMUZI YA MABOSI WA YANGA…WASALIMU AMRI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply