News

KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA..SIMBA SC WATUPWA ZAMBIA..KUKIPIGA NA WABISHI HAWA

admin October 26, 2021 2:13 pm


Klabu ya soka ya Simba SC imepangiwa kucheza na Red Arrows ya Zambia kwenye mechi ya mtoani kuwania kuingia hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. Mechi ya kwanza itapigwa Novemba 28, 2021 Dar es salaam na kurudiana Desemba 5, 2021.

PAMOJA NA KUFUKUZWA KAZI..GOMES AFUNGUKA HAYA KUHUSU PAPE SAKHO..AMTABIRIA MAKUBWA WAKATI JAHAZI LA SIMBA LIKIPITIA DHORUBA KALI…’FEI TOTO’ AIBUKA NA KUUTAKA UFALAME WA CHAMA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply