BIashara United

BAADA YA TAARIFA ZA KUPEWA RUSHWA NA WALIBYA KUWA NYINGI..BIASHARA UTD WAIBUKA NA HILI…

admin October 27, 2021 7:00 am

 


Klabu ya Biashara United Mara imetolea majibu taarifa zinazoenea mitandaoni kuwa, Viongozi wa klabu hiyo walipokea rushwa ili kukwamisha safari ya timu hiyo kwenda nchini Libya mapena wiki iliyopita ili kucheza mchezo wake wa marudiano dhidi ya Al Ahly Tripoli.

Biashara United baada ya kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya makamu hao bingwa wa Libya ilitakiwa kusafiri kwenda Libya kucheza mchezo wao wa marudiano Oktoba 23, 2021 lakini ilishindwa kufanya hivyo kwa kile walichodai kuwa walikosa vibali vya kurusha ndege yao yakukodi.

Biashara United kwasasa inasubiri taarifa rasmi kutoka Shirikisho la Soka Afrika CAF kujua hatma ya mchezo huo kama upo au wameshaondolewa kwenye michezo hiyo ya kuwania kufuzu makundi ya kombe la Shirikisho Afrika.


 

WAKATI SIMBA WAKIKIPIGA LEO…MCHEZAJI WAO AIBUKA NA KUIPA YANGA UBINGWA MSIMU HUU MWANASHERIA AFICHUA SABABU KIFO CHA MARADONA..WATOTO WAKE WATAJWA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply