News

YANGA WAENDELEA ‘KUSIMAMIA UKUCHA’ KESI YA USAJILI WA MORRISON..CAS WATOA WARAKA MPYA…

admin October 28, 2021 1:00 pm

 


TAREHE ambayo hukumu ya kesi kati ya klabu ya Yanga na mchezaji Bernard Morrison ilikuwa imepangwa, imesogezwa tena mbele mpaka Novemba 23, mwaka huu.

Wakili wa Yanga, Alex Mgongolwa akizungumza, ametoa ufafanuzi kuwa hukumu hiyo itatolewa siku yoyote kuanzia sasa mpaka Novemba 23, kwa mujibu wa taarifa waliyopewa na CAS.

Mahakama hiyo ya Usuluhishi wa michezo imetoa maamuzi hayo kutokana na upande wa mawakili wa Bernard Morrison kutuma barua ya kielektroniki (E-mail) huko CAS, ambapo walitoa pendekezo kesi hiyo itolewe hukumu kwa kuwa imekua ikiahirishwa mara kwa mara.

Awali CAS ilisema itatoa hukumu ya shauri hilo Oktoba 26, lakini haikutoka na itatoka wakati wowote kutoka sasa mpaka Novemba 23.


NI SUALA LA MUDA TU…CONTE, ZIDANE NA BRENDAN RODGERS KUCHUKUA NAFASI YA OLE MAN UNITED KUELEKEA MECHI DHIDI YA AZAM…AUCHO APEWA MAJUKUMU MAALUMU…KAZE AFUNGUKA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply