Home Azam FC BASI LA AZAM FC NDANI YA ARDHI YA DAR ES SALAAM

BASI LA AZAM FC NDANI YA ARDHI YA DAR ES SALAAM

 BASI la Azam FC ndani ya ardhi ya Dar es Salaam wanaita Ndege ya Taifa ya ardhini, Mercedes Benz Irizar i6S Plus, kwa sasa ipo ndani ya jiji la Dar es Salaam.

Wakati ndinga hiyo ya Azam FC ikiwa njiani kuja jijini Dar es Salaam, ilipata bahati ya kukutana na shabiki mkubwa wa Azam FC na mfanyabiashara maarufu wa Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania, Frederick Kyando.


SOMA NA HII  A-Z JINSI SIMBA WALIVYOIFANYIA 'UMAFIA' MTIBWA SUGAR JANA...MWAMUZI AHUSIKA...