Home video CHEKI NAMNA MATIZI YA MAKIPA SIMBA YALIVYOKUWA CHINI YA MBRAZIL

CHEKI NAMNA MATIZI YA MAKIPA SIMBA YALIVYOKUWA CHINI YA MBRAZIL


MAKIPA wa Simba ambao ni pamoja na Jeremiah Kisubi, Ally Salim, Beno Kakolanya chini ya Kocha wao raia wa Brazil Milton Nienov wamekuwa wakipigishwa matizi Uwanja wa Boko kwa ajili ya kujiweka sawa na mechi za mashindano ambazo zinakuja.


 Wakati huu ligi ikiwa imesimama kutokana na timu za taifa kucheza mechi za kuwania kufuzu tiketi ya Kombe la Dunia bado kwa Simba kwa mastaa ambao hawajaitwa katika timu za taifa wameendelea na mazoezi.

 Maandalizi ya Simba kwa sasa ni kuelekea mchezo wao wa kimataifa dhidi ya Jwaneng Galaxy ya Botswana unaotarajiwa kuchezwa Oktoba 17.

 

SOMA NA HII  TAZAMA MASTAA WA STARS FEISAL,MZAMIRU WALIVYOINGIA UWANJA WA MKAPA