Home video TAZAMA NAMNA WACHEZAJI WA TWIGA STARS WALIVYOPOKELEWA,ACHA KAZI IENDELEE

TAZAMA NAMNA WACHEZAJI WA TWIGA STARS WALIVYOPOKELEWA,ACHA KAZI IENDELEE


WACHEZAJI wa timu ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars Oktoba 11 wamerejea Tanzania wakitokea Afrika Kusini ambapo walikuwa na kazi ya kusaka taji la COSAFA na wamefanikiwa kurudi nao Tanzania katika hilo pongezi wanastahili na kuweza kuendelea kufanya vizuri zaidi.


 Twiga Stars ilishinda bao 1-0 katika mchezo wa fainali dhidi ya Malawi walipenya hatua hiyo kwa ushindi mbele ya Zambia kwenye mchezo wa nusu fainali. 

Pongezi kwa wale ambao walijitokeza kuipokea timu, uongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF), bila kusahau Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Michezo, acha kazi iendelee.

 

SOMA NA HII  VIDEO: YANGA: TUNAKWENDA KIGOMA KUPIGA PALEPALE KWENYE MSHONO