News

BAADA YA KUNG’AA KWENYE MECHI ZA KIMATAIFA NA BIASHARA UNITED…REDONDO APATA SHAVU JIPYA…

admin November 1, 2021 12:12 pm

Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Kim Poulsen ametaja kikosi kitakachoingia kambini juma lijalo, kwa ajili ya michezo miwili ya mwisho ya Kundi J ya kuwania kufuzu Fainali za Kombe la Dunia.

Taifa Stars itacheza dhidi ya DR Congo jijini Dar es salaam Novemba 11, kisha itasafiri hadi Antananarivo kupambana na kikosi cha Madagascar katika mchezo wa mwisho wa Kundi J utakaochezwa Novemba 14.

Stars Inaongoza msimamo wa kundi J kwa kufikisha alama saba sawa na Benin, huku DR Congo ikiwa na alama tano zinazoiweka nafasi ya tatu na Madagascar inashika mkia wa kundi hilo kwa kuwa na alama tatu.

Katika kikosi hiko, mbali na wengine  pia kuna ingizo jipya la mchezaji wa zamani wa Simba SC anayekipiga Biashara United , Ramadhan Chombo .


PAMOJA NA KUWA NA ‘ KAMGOMO BARIDI’….YANGA KIMEELEWEKA….WACHEZAJI WAMWAGIWA MAMILIONI…SIMBA WATAJWA.. KISA SIMBA….NAMUNGO WATUA DAR KIBABE….’PAPA’AH MOLINGA AONGOZA MSAFARA…PLANI ZAO NIKO HIVI…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply