News

PAMOJA NA YANGA KUFANYA VIZURI…GSM WASHINDWA KUJIZUA…WALIA KUPATA HASARA..WAITAJA LA LIGA..

admin November 6, 2021 6:44 am


Mkurugenzi wa Uwekezaji wa GSM na Mjumbe wa Kamati ya mashindano ya klabu ya Yanga Eng. Hersi Said amesema klabu hiyo inajiendesha kwa hasara.

Eng. Hersi ameyasema hayo jana Novemba 5, 2021 kwenye mahojiano maalum na kipindi cha Kipenga Xtra cha East Africa Radio ambacho huruka Jumatatu hadi Ijumaa saa 6:00 – 7:00 mchana na jana kimeruka kutokea ofisi za GSM.

”Timu hizi zinajiendesha kwa hasara kwa miaka mingi ndio maana zimekwama. Ukisema hivi mtu anaweza asikuelewe lakini ukitazama mapato ya klabu na matumizi ndio utajua kwanini zinajiendesha kwa hasara”, ameeleza Eng. Hersi Said Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM.

Aidha kuhusu mabadiliko amesema kuwa  ”Tumechagua mfumo wa wanachama na wawekezaji kwa 51% kwa wanachama na 49% kwa wawekezaji. Hili tumejifunza La Liga na ndio maana unaweza ukaona kwanini Real Madrid na Barcelona zinapendwa na watu duniani. Tumejifunza kitu kikubwa sana na mabadiliko ya Yanga yatakwenda kuwa ya mfano”.

MAKAMBO : YAMENIKUTA …ASEMA KILA KITU…KOCHA MPYA SIMBA KUANZA NA WANNE…MWANASPOTI.. VIGOGO SIMBA WAVAMIA NYUMANI KWA KIBWANA SHOMARI..WAMWAGA AHADI ZA KUFA MTU ASISAINI YANGA TENA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply