CAF

HIZI HAPA TIMU KUMI ZA AFRIKA ZILIZOFUZU HATUA YA MTOANO KOMBE LA DUNIA QATAR..

admin November 17, 2021 12:10 pm


Cameroon imefanikiwa kuwa miongoni wa mataifa 10 ambayo yamefuzu katika kinyang’anyiro cha kucheza fainali za kombe la Dunia za mwaka 2022 zitakazopigwa nchini Qatar baada ya kuinyuka Ivory Coast kwa bao 1-0

Bao pekee na la ushindi la Cameroon lilifungwa na Karl Toko Ekambi  ambaye anakipiga na Klabu ya Lyon ya Ufaransa na sasa Indomitable Lion wanafuzu kwa mara ya 7 katika hatua hiyo ikiwa ni rekodi kwa bara Afrika.

Mataifa yaliyofuzu hatua ya mtoano ni Senegal,Morocco,Algeria ,Nigeria, Misri,Cameroon,Mali,Ghana na DR Congo ambazo zitapagiwa droo mnamo Mwezi machi mwaka 2022.

KISA ‘MAVITU’ YA AUCHO…MUKOKO AWEKWA SOKONI YANGA…INJINIA HERSI ABARIKI ASEPE.. KINDA LA KITANZANIA LASAJILIWA NA TIMU TAJIRI YA SUDANI…INASHIRIKI LIGI YA MABINGWA AFRIKA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply