News

ISHU YA CHAMA KUMALIZANA NA YANGA…MANARA AFUNGUKA HAYA TENA..

admin November 23, 2021 4:55 am

 


MSEMAJI wa Klabu ya Yanga, Haji Manara ameokoleza kile kinachoelezwa kuwa timu hiyo iko kwenye harakati za mwisho za kumsajili nyota wa kimataifa wa Zambia Clatous Chama kutoka Berkane FC ya Morocco.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Manara ameandika; “Nchi tuisimamishe sasa hivi au baadae? Dadadeki, Ok biashara tushamaliza na hapa Eng. Hersi ndio anashughulikia ATC, oooh sorry ITC.😅😅

Jana mliongopewa nn vile?

We Are Yanga, The Home of Champions.👌 Sijui nifanye Press au niseme humu humu, halafu wala haturingi🤪🤪”

Vijembe hivi vya msemaji huyo machachari vimetafsiriwa kuwa labla huenda tayari nyota huyo amefanya mawasiliano na Yanga SC baada ya kuripotiwa kutokuwa na furaha nchini Morocco.

NABI AMUITA AUCHO FASTA..ASHTUKIA JAMBO..AWATULIZA MASHABIKI..MWANASPOTI LEO.. PENALTI YA YANGA DHIDI YA NAMUNGO YAIBUA UTATA UPYA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply